Kuhusu Sisi
SISI NI NANI
Familia ya Imani - Kwa msingi wa Kweli wa Maandiko, tunasimama imara katika mafundisho ya Yesu Kristo.
Kanisa la World Healing Church ni huduma ya Kikristo iliyojikita katika urithi wa kiroho. Kwa msingi wa kanuni za kibiblia, huduma yetu imejitolea kuleta Habari Njema ya Yesu Kristo kwa watu binafsi na jamii, kuwatia nguvu kupitia imani, elimu, na kuwafikia watu wenye uhitaji.
Kanisa letu limeanzisha mwaka wa 2023, kanisa limekuwa likishiriki kikamilifu katika umisheni, upandaji makanisa, mafunzo ya uongozi, na miradi ya kijamii ambayo inakuza ustawi wa kiroho na kimwili. Tunaamini katika nguvu ya mabadiliko ya Roho Mtakatifu na umuhimu wa kuishi maisha yanayofanana na Kristo.
Dhamira Yetu:
Kuhubiri Injili, kuwafanya watu kuwa wanafunzi wenye kuongozwa na Roho Mtakatifu, na kuhudumia jamii zenye uhitaji kupitia nguvu ya Injili.
Maono Yetu:
Kuwa na jamii inayoishi kwa upendo yenye kumjua Yesu Kristo kuwa ni Mungu na Mwokozi wa Ulimwengu
Imani Yetu:
- Biblia ni Neno la Mungu lililoongozwa na Roho Mtakatifu.
- Wokovu ni kupitia Yesu Kristo pekee.
- Ubatizo wa Maji mengi na Roho Mtakatifu huwezesha ustawi wa Kiroho.
- Upendo ni msingi wa kujenga mwili wa Kristo
- Maombi na ibada ni nguzo ya kanisa
- Mafanikio hetegemea kiwango cha kumjua Mungu, kusikia sauti ya Mungu, nakumpenda kufanya maagizo yake kikamilifu
UONGOZI WETU
Jhon Walker
MHUNGAJI KIONGOZI
It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.
Jhon Walker
MHUNGAJI KIONGOZI
It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.
Jhon Walker
MHUNGAJI KIONGOZI
It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.
Jhon Walker
MHUNGAJI KIONGOZI
It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.

