Kuhusu Sisi

SISI NI NANI

Familia ya Imani - Kwa msingi wa Kweli wa Maandiko, tunasimama imara katika mafundisho ya Yesu Kristo.

Kanisa la World Healing Church ni huduma ya Kikristo iliyojikita katika urithi wa kiroho. Kwa msingi wa kanuni za kibiblia, huduma yetu imejitolea kuleta Habari Njema ya Yesu Kristo kwa watu binafsi na jamii, kuwatia nguvu kupitia imani, elimu, na kuwafikia watu wenye uhitaji.

Kanisa letu limeanzisha mwaka wa 2023, kanisa limekuwa likishiriki kikamilifu katika umisheni, upandaji makanisa, mafunzo ya uongozi, na miradi ya kijamii ambayo inakuza ustawi wa kiroho na kimwili. Tunaamini katika nguvu ya mabadiliko ya Roho Mtakatifu na umuhimu wa kuishi maisha yanayofanana na Kristo.

Dhamira Yetu:

Kuhubiri Injili, kuwafanya watu kuwa wanafunzi wenye kuongozwa na Roho Mtakatifu, na kuhudumia jamii zenye uhitaji kupitia nguvu ya Injili.

Maono Yetu:

Kuwa na jamii inayoishi kwa upendo yenye kumjua Yesu Kristo kuwa ni  Mungu na Mwokozi wa Ulimwengu

Imani Yetu:

  • Biblia ni Neno la Mungu lililoongozwa na Roho Mtakatifu.
  • Wokovu ni kupitia Yesu Kristo pekee.
  • Ubatizo wa Maji mengi na Roho Mtakatifu huwezesha ustawi wa Kiroho.
  • Upendo ni msingi wa kujenga mwili wa Kristo 
  • Maombi na ibada ni nguzo ya kanisa
  • Mafanikio hetegemea kiwango cha kumjua Mungu, kusikia sauti ya Mungu, nakumpenda  kufanya maagizo yake kikamilifu

UONGOZI WETU

team-img

Jhon Walker

MHUNGAJI KIONGOZI

It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.

team-img

Jhon Walker

MHUNGAJI KIONGOZI

It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.

team-img

Jhon Walker

MHUNGAJI KIONGOZI

It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.

team-img

Jhon Walker

MHUNGAJI KIONGOZI

It is a long established fact that a reader will be distracted by the content.